Posts

Showing posts from February, 2017

LOVE STORY

Image
Kwa mara ya kwanza na yakipekee mwandishi chipkizi katika tasnia ya utunzi wa vitabu vinavyohusu maisha na mapenzi...anawaletea kitabu chenye kusisimua na kinacho elimisha pia.. Usikose kukifuatilia kupia blogi hii ili ujifunze mengi katika maisha na mahusiano pia.....    %&@KARIBUNI SANA@&%

@LOVE@

Image
Mapenzi ni hisia za kweli zitokazo ndaniya kiini cha moyo. Mapenzi ni hisia taamu sana ambazo hazichoshi unapo zifeel,mapenzi ni kiungo muhimu sana katika maisha ambacho kikikosekana basi mwili mzima hukesha kwa maumivu. Mapenzi ni maneno mataamu sana yatokayo moyoni yakiwa yamebeba ujumbe mzito wenye kusisimua. Mapenzi ni jinsi unavyomjari mtu zaidi ya unavyoijali nafsi yako,jinsi gani umejitoa sadaka kwa umpendae,jinsi gani upo tayari kwa chochote kwaajiri yake. Mapenzi ni safari nzuri ya huba inayounganisha hisia na fikra za wapendanao. Mapenzi ni ahadi nzuri za kweli zenye vitendo zilizoambatana na tabasamu bashasha la huba kutoka kwenye uvungu wa nn wa chumba cha moyo....       Thamin sana upendo kwa ndio furaha yako ya maisha,kumbuka hata "" samaki hutambua umuhimu wa maji baada ya mto kukauka"" Alokushika mshkilie usimuachie kwani yeye ndie hujua thamani ya utu wako..         "" LOVE IS HOW YOU CARE FOR SOMEONE MORE THAN YOU CARE FOR YOUR SE

SOCCER

Image
now

SOCCER

Image
FC Barcelona close the gap on Real Madrid to one point after goals from Alcacer, Leo Messi & Vidal secured a comfortable home win for the Catalan giants.

SOCCER

Image
Simba sport club today win against Majimaji Sport club in Vodacom premier league . Now Simba come closer near with Yanga Sport club by different of one point . SIMBA 3--- MAJIMAJI 0

SOCCER

Image
Forbes top-earning athletes for 2016: 1 Cristiano Ronaldo 2 Leo Messi 3 LeBron James 4 Roger Federer 5 Kevin Durant 6 Novak Djokovic 7 Cam Newton 8 Phil Mickelson 9 Jordan Spieth 10 Kobe Bryant

SOCCER

Image
It's more than quake for Vodacom Premiere league.... Young dar Afrika today beat Stand United and come to the top of league. Yanga 4 - Stand United 0 Tomorrow Simba sport club come to the ground again to fight for championship.