@LOVE@

Mapenzi ni hisia za kweli zitokazo ndaniya kiini cha moyo.
Mapenzi ni hisia taamu sana ambazo hazichoshi unapo zifeel,mapenzi ni kiungo muhimu sana katika maisha ambacho kikikosekana basi mwili mzima hukesha kwa maumivu.
Mapenzi ni maneno mataamu sana yatokayo moyoni yakiwa yamebeba ujumbe mzito wenye kusisimua.
Mapenzi ni jinsi unavyomjari mtu zaidi ya unavyoijali nafsi yako,jinsi gani umejitoa sadaka kwa umpendae,jinsi gani upo tayari kwa chochote kwaajiri yake.
Mapenzi ni safari nzuri ya huba inayounganisha hisia na fikra za wapendanao.
Mapenzi ni ahadi nzuri za kweli zenye vitendo zilizoambatana na tabasamu bashasha la huba kutoka kwenye uvungu wa nn wa chumba cha moyo....
      Thamin sana upendo kwa ndio furaha yako ya maisha,kumbuka hata "" samaki hutambua umuhimu wa maji baada ya mto kukauka""
Alokushika mshkilie usimuachie kwani yeye ndie hujua thamani ya utu wako..
        "" LOVE IS HOW YOU CARE FOR SOMEONE MORE THAN YOU CARE FOR YOUR SELF""""
         @%thank%@

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL