Mapenzi ni safari tamu sana ya upendo mambayo kamwe haiwezi kukosa huzuni furaha , majonzi na faraja . Maana halisi ya mapenzi ni jinsi unavyomjali mtu zaidi ya unavyoijali nafsi yako , mapenzi ni furaha amani na upendo . Wapo wanaoamini et hakuna mapenzi ya kweli hakika wao wanakosea mapenzi ya kweli yapo . Wengi wetu tunaingia kwenye mahusiano ya Kumapenzi bila kujua lengo halisi la kuingia huko ndio maaana wengi tunaishia kuumia , kulia , majuto na kupotezewa muda . Unapoamua kuingia kwenye mahusiano inamaana unaandaa maisha maisha yako ya badae na huyo mapenzi wako na upo tayari kukabiliana na kila changamoto itakayojitokeza hadi pale lengo lenu litakapotimia . Soma hizi kanuni 10 naamini utajifunza kitu . (1) Kuamini kuwa upendo wakweli upo : unatakiwa kujiamisha kuwa unapendwa ha hakuna mwingine zaid yako , itakusaidia kupunguza fikra potofu za usaliti na itajenga
Comments
Post a Comment