KITAIFA

LOWASSA AAHIDI KUTOA CHAKULA:
Rais aliyeshindwa katika uchaguzi mwaka 2015 kupitia chama cha CHADEMA Ndug:Edowald Lowassa ametangaza kuwa ""kama raisi wetu huyu ameshndwa kuleta chakula nakuwafanya Watanzania waishi maisha ya shida na dhiki, basi Mimi naahidi kutoa chakula kwa pesa yangu.hatuwezi kuangalia ndugu zetu wakiteseka kwa janga la njaa wakipoyeza ndugu na jàmaa zao kwa njaa halafu Watanzania tupo Mimi kama Lowassa nasema nitakuwa mstari wa mbele kutetea na kupigania uhai wa kila Raia,hata chakula cha kuomba pia hatuwezi kukosa dunia yote itatuelewa"" alisema Lowassa mbele ya wanachama wake..Lowassa nywele nyeupe,roho nyeupe,moyo mweupe,tuungane nae katika hili

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL