Edward Lowassa ameachwa huru kutokana na kile kinachosemekana ni nguvu za wananchi . Serikali imeamua kumuacha huru kwa sababu za kiusalama zaidi , Lowassa kwa sasa yupo huru na yupo kamili kuweza kutekeleza alicho kiahidi kuwapa Watanzania chakula waliokumbwa na janga la ukame . Amesema hatakama pesa zake hazitawatoleza mahitaji ano uwezo wa kukopa kokote kule ilimladi aokoe maisha ya Watanzania wengi ." inaniuma sana kuona Watanzania wanapoteza maisha kwa njaa haliya ya kuwa pesa zipo , ntapambana hadi mwisho kulisimamia hili " alisema Lowassa
Leo katika ligi kuu ya nchini Uingereza maarufu kama English premier league kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka,mchezo unaoenda kutazamwa na idadi kubwa ya watu kutoka pande zote za dunia,mchezo unaoenda kuamua nani atakaa kileleni mwa msimamo wa ligi.Kocha mkuu wa klabu ya Liverpool,Klop ametangaza hali ya hatari ni zaidi ya mauaji yatakayotokea katika katika uwanja wa nyumbani kwao Anfield.Liverpool ikiwa na historia ya nyuma ya kuichapa klabu ya Bounmouth magori 4 kwa bila mwishonj mwa wiki iliyopita,huku mshambuliaji hatari wa kikosi hicho cha Liverpool,Mohamed Sarah ikifunga magori matatu(hart trick).Lakini kwa upande wa Manchester United hali ni zaidi ya mauaji huku kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Morinho akitangaza kumwagika kwa damu Anfield,Manchester United wakiwa na historia ya kuifunga Fulham magori 4 kwa 1 katika mchezo uliochezwa mwshon mwa wiki iliyopita. Mashabiki wa Liverpool wakiwa na maswali mengi kichwani mwao je mshambuliaji wao hatari Sarah ata...
Comments
Post a Comment