MICHEZO

Neymar Jr airudisha tabasamu..mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Neymar do Santos amerudisha tabasam katika klabu baada ya mechi yao ya copa delay dhidi ya klabu ya Real Sociedad kufanikiwa kufunga gori lililodumu hadi mwisho wa mchezo.Neymar alifunga gori hilo kwa mkwaju wa penati kusababisha mchezo huo kuishi kwa bao moja kwa bila.
Barcelona 1--Real Sociedad 0

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL