BURUDANI

Mfalme wa pop duniani hayati Michael Jackson ameichia huzuni familia yake baada ya kufaliki.Lakini kifo chake kimezua sintofahamu duniani kote,mtoto wake Paris ametoa neno juu ya kifo cha baba yake akisema"najua baba yangu hakufa mwenyewe ila ameuliwa,kabla ya kifo chake aliwahi kuniambia kuwa kuna watu wanamtafuta wanataka kumuua"hii inaonesha kuwa kifo cha Michael Jackson kilipangwa ili kuzima ndoto za Mfalme huyo.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL