KITAIFA

Mkazi mmoja jiji DAR amefungua koki katika gari la kubebea kinyesi cha binadamu kwa lengo la kuiba mafuta akizani kuwa roli hilo lilikuwa limebeba mafuta.Hii imesababisha hali ya hewa jijini  dar kuwa chafu zaidi.
Ni hatari sana kwani inaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kama hatua za kudhibiti hazita chukuliwa.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL