KIMATAIFA

Raisi wa Malekani anayeondoka Balack Obama alitokwa na machozi alipokuwa akitoa hotuba yake ya mwisho kama rais mjini Chicago
Hii ni baada ya alipokuwa akimshukuru mkewe Michelle pamoja na mabinti zao Maria na Sasha..
"" umeifanya ikulu ya White house kuwa mahala pa kila mtu upendo wako,ukarimu,ushauri,hekima na busara zako zimeifanya USA kuwa taifa lenye amani na furaha wakati wote.Hakika wewe n mwanamke imara na jasiri mwenye nguvu"alisema Obama kwa Michelle
"Leo tunaondoka ikulu naomba uendelee kunishka mkono na kuniongoza,nakupenda sana mke wangu Michelle" alimalizia Obama

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MATOKEO