KIMATAIFA

Waziri mkuu apigwa kifo....
Waziri mkuu msataafu nchini Ufaransa amepigwa Kofi alipokuwa akihamasisha kampeni katika ukanda wa magharibi wa mji Brittary.Alipigwa Kofi na kijana mdogo wakati wakusalimiana kwa kushikana mikono,lakn mlinz wa Waziri huyo alimshka huyo kijana shingoni nakumtupa chini.Taarifa zinasema Waziri huyo yupo salama na hakujeruhiwa popote.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL