BURUDANI
Visent kigosi amnywesha maji mtototo wake aliyezaliwa jana...muigizaji maalufi sana nchini Tanzania RAY amepata mtoto wa kiume na mzazi mwenzie Chuchu Hans.Mtototo ni mweupe mithri ya mzungu,baadhi ya watu wake wa karibu wanasema amemnywesha maji mwanae huyo baada ya skendo iliyozuka Siku za usoni kuwa Ray anakunywa maji mengi ndio maana anakuwa mweupe.
"Namshkuru sana mungu kwa kunipa pacha wangu japo watu wataongea sana lakni huyu ndie damu yangu napenda kumuita pacha wangu" alisema RAY
Comments
Post a Comment