BURUDANI

Diamondi ni hatari..
Mwanamuziki wa kitanzania Diamondi platnumz awamwaga machozi raia wa Gabon mara tu baada ya kupanda jukwaani na kuganya show Kali sana.Mwanamuziki huyu amealikwa kwenye tamasha LA ufumbuzi wa michuano ya kimataifa Afrika,Diamondi amepata fulsa ya kuonana na raisi wa nchi hyo Mh:Ali Bongo pia amepata nafasi ya kuonana na baadhi ya wamuziki wengne kama Davido kutoka Nigeria na Akon kutoka Senegal.Platnumz anaiwakilisha vyema bendela ya Tanzania kimataifa zaidi,huyu ndie msanii anekubalika sana Tanzania na Afrika kwa ujumla

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL