LOWASSA AACHIWA HURU

Edward Lowassa ameachwa huru kutokana na kile kinachosemekana ni nguvu za wananchi.
Serikali imeamua kumuacha huru kwa sababu za kiusalama zaidi,Lowassa kwa sasa yupo huru na yupo kamili kuweza kutekeleza alicho kiahidi kuwapa Watanzania chakula waliokumbwa na janga la ukame.Amesema hatakama pesa zake hazitawatoleza mahitaji ano uwezo wa kukopa kokote kule ilimladi aokoe maisha ya Watanzania wengi."inaniuma sana kuona Watanzania wanapoteza maisha kwa njaa haliya ya kuwa pesa zipo,ntapambana hadi mwisho kulisimamia hili"alisema Lowassa

Comments

Popular posts from this blog

MAPENZI