BURUDANI

DIMONDI ALAMBA SHAVU:Mwanamuziki wa bongo fleza nchini Tanzania pamoja na mzazi mwenzake Zari Hasani"Zari"wamelamba shavu baada ya kusaini mkataba wa kupendezesha jarida maalufu sana nchini Afrika Kusini liitwalo"papas and mamas"
Wawili hao wameingia kwenye rekodi ya kuwekwa katika jarida hilo sawa na Nelson Mandela aliyekuwa raisi wa nchi hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL