MICHEZO

Pogba apewa funzo...
Kiungo wa kati wa Man U,Pogba amepewa funzo Kali na mkufunzi wake Morinho Mara tu baada ya kuonekana kiwango chake kinapotea""unatakiwa kucheza kwa Uhuru uwanjani bila kumskiliza yeyote,kujiamni pia ni njia ya mafanikio""alisema Morinho kwa Pogba.Kiungo huyu mwenye umri miaka 23 alitabiliwa kuwa tishio kubwa katika ligi kuu ya Uingereza mara baada tu ya kutua Man U akitokea Juventus.Pogba kwasasa kiwango chake kipo vizuri na amisaidia Man U kucheza mechi nyingi bila kufungwa siku hizi za usoni

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MATOKEO