MAN U VS LIVERPOOL

Leo katika ligi kuu ya nchini Uingereza maarufu kama English premier league kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka,mchezo unaoenda kutazamwa na idadi kubwa ya watu kutoka pande zote za dunia,mchezo unaoenda kuamua nani atakaa kileleni mwa msimamo wa ligi.Kocha mkuu wa klabu ya Liverpool,Klop ametangaza hali ya hatari ni zaidi ya mauaji yatakayotokea katika katika uwanja wa nyumbani kwao Anfield.Liverpool ikiwa na historia ya nyuma ya kuichapa klabu ya Bounmouth magori 4 kwa bila mwishonj mwa wiki iliyopita,huku mshambuliaji hatari wa kikosi hicho cha Liverpool,Mohamed Sarah ikifunga magori matatu(hart trick).Lakini kwa upande wa Manchester United hali ni zaidi ya mauaji huku kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Morinho akitangaza kumwagika kwa damu Anfield,Manchester United wakiwa na historia ya kuifunga Fulham magori 4 kwa 1 katika mchezo uliochezwa mwshon mwa  wiki iliyopita.
    Mashabiki wa Liverpool wakiwa na maswali mengi kichwani mwao je mshambuliaji wao hatari Sarah ataendeleza ubabe wa magori?.Mchezo huo kati ya Liverpool na Manchester United unatarajia kuanza majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika mashariki katika uwanja wa Anfield.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU