MORINHO;POGBA APEWE MUDA
Meneja  wa  Manchester  United  José  Morinho  ametangaza  kuwa  kiungo  wake  wakati  Pogba  aliyewahi  kuvunja  rekodi  ya  usajili  alipihamia  kilabuni  hapo  ana  shindwa  kuwika  vyema  licha  ya  kuwa  mchezaji  mwenye  hatari  kubwa  sana  alipokuwa  akicheza  soka  la  Italia .   " Pogba  ni  kiungo  mzuri  na  pia  anacheza  kwa  umakini  mkubwa , ni  yule  yule  tuliyewahi  kumuona  katika  ligi  ya  Italia  na  ndio  huyu  huyu  tunaemshuhudia  sasa  katika  ligi  ya  Uingeleza , wote  tunaamini  kuwa  ni  mchezaji  bora  licha  ya  kuwa  kwa  kipindi  hiki  kifupi  hafanyi  vzuri . Hili  ni  suala  la  muda  Pogba  apewe  muda   atakuwa  bora  zaidi  na  zaidi  naamini  hivyo " ni  maneno  ya  José  Morinho .