MORINHO;POGBA APEWE MUDA

Meneja wa Manchester United José Morinho ametangaza kuwa kiungo wake wakati Pogba aliyewahi kuvunja rekodi ya usajili alipihamia kilabuni hapo ana shindwa kuwika vyema licha ya kuwa mchezaji mwenye hatari kubwa sana alipokuwa akicheza soka la Italia.
"Pogba ni kiungo mzuri na pia anacheza kwa umakini mkubwa,ni yule yule tuliyewahi kumuona katika ligi ya Italia na ndio huyu huyu tunaemshuhudia sasa katika ligi ya Uingeleza,wote tunaamini kuwa ni mchezaji bora licha ya kuwa kwa kipindi hiki kifupi hafanyi vzuri.Hili ni suala la muda Pogba apewe muda  atakuwa bora zaidi na zaidi naamini hivyo" ni maneno ya José Morinho.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MATOKEO