Posts

Showing posts from December, 2018

UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Image
Hatimae draw ya 16 bora yatangazwa.UEFA CHAMPIONS LEAGUE ni moja ya ligi inayoongoza kwa  umaarufu zaidi duniani kutokana na msisimko wa hali ya juu katika ligi hii.Baada ya michuano mbalimbali kupigwa katika viwanja kadhaa ili kuwania tiketi ya kifuzu hatua ya 16 bora hatimae draw imetoka na klabu zikiwa  zinajiandaa kuchuana vikali ili kuibuka kidedea.      IFUATAYO NI ORODHA YA 16 BORA: (1)ROMA VS PORTO (date=12/2/2019 time= 23:00) (2)MAN U VS PSG      (date=12/2/2019 time=23:00) (3)TOTTENHAM VS DORTMUND (date=13/2/2019 time=23:00) (4)AJAX VS R.MADRID (date=13/2/2019 time=23:00) (5)LYON VS BARCELONA (date=19/2/2019 time=23:00) (6)LIVERPOOL VS BAYERN (date=19/2/2019 time=23:00) (7)AT.MADRID VS JUVENTUS (date=20/2/2019 time=23:00) (8)SCHALKEL 04 VS MAN CITY (date=20/2/2019 time=23:00) RAUNDI YA MARUDIANO (1)R.MADRID VS AJAX (date=5/3/2019 time=23:00) (2)DORTMUND VS TOTTENHAM (date=5/3/2019 time 23:00) (3)PORTO VS ROMA (da...

MAN U VS LIVERPOOL

Image
Leo katika ligi kuu ya nchini Uingereza maarufu kama English premier league kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka,mchezo unaoenda kutazamwa na idadi kubwa ya watu kutoka pande zote za dunia,mchezo unaoenda kuamua nani atakaa kileleni mwa msimamo wa ligi.Kocha mkuu wa klabu ya Liverpool,Klop ametangaza hali ya hatari ni zaidi ya mauaji yatakayotokea katika katika uwanja wa nyumbani kwao Anfield.Liverpool ikiwa na historia ya nyuma ya kuichapa klabu ya Bounmouth magori 4 kwa bila mwishonj mwa wiki iliyopita,huku mshambuliaji hatari wa kikosi hicho cha Liverpool,Mohamed Sarah ikifunga magori matatu(hart trick).Lakini kwa upande wa Manchester United hali ni zaidi ya mauaji huku kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Morinho akitangaza kumwagika kwa damu Anfield,Manchester United wakiwa na historia ya kuifunga Fulham magori 4 kwa 1 katika mchezo uliochezwa mwshon mwa  wiki iliyopita.     Mashabiki wa Liverpool wakiwa na maswali mengi kichwani mwao je mshambuliaji wao hatari Sarah ata...