WONDERFUL

Mwanaume mmoja atamia mayai ya kuku.Huko Ufaransa mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la  Abrahamu ameishangaza dunia baada ya kuamua kutamia mayai 10 ya kuku ili yatotoe vifaranga.Abraham anayatamia mayai hayo kwa muda wa siku  21 hadi  26 huku akitumia muda usiopungua dakika 30 kwaajili ya kula chakula,mara  nyingi hula vyakula  vinavyoongeza joto  mwilini kama vile tangawizi.
    Hutumia kiti maalum ambacho kwandani  ndipo  alimoweka mayai na amejifunika blengeti kwaajili ya kuzui joto lisipotee.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL