SOCCER

Arsene Wenger awasifu mashabiki wake.Meneja wa klabu ya Arsenal Asene Wenger amewasifu mashabiki wake baada ya kujitokeza kwa wingi katika mchezo kati ya Arsenala na Manchester city uliomalizika kwa sale ya gori 2-2.Wenger amesema anawashukuru wote waliokuja kumpa sapoti katika mechi hiyo,pia anawepnda mashabiki wote wanaompenda na wasiompenda.
     Arsenal imeshuka hadi nafac ya sita ,magoli ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcot na Shkondean Mustafi lakini magoli ya Man.city yalifungwa na Segio Aguero na Lesoy Sane.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL