Posts

Showing posts from August, 2018

TOTTENHAM HOTSPUR VS NEWCASTLE UNITED

Image
Lei katika ligi kuu ya Uingeleza mechi kadhaa zilipigwa na moja kati ya mchezo ulivuta hisia za wengi ni kati ya klabu ya Tottenham Hotspur dhidi ya wenyeji Newcastle United.Klabu zote zilionekana kuingia kwa kasi zaidi kuhakikisha kila mmoja anapata matokeo mazuri ndani ya dakika za mwanzo,hadi dakika ya nane Tottenham wanafanya shambulizi la kushitukiza lakini mlinda mlango wa klabu ya Newcastle anaokoa na kuipa kona Tottenham.Vertonghen anafanikiwa kuuzamisha mpira ndani ya nyavu za Newcastle nakuipatia klabu yake goli la kuongoza,wachezaji wa Newcastle wanapata nguvu wanafanya mashambulizi kadhaa langoni mwa Tottenham moja kati ya shambulizi lao linazaa matunda.Ndani ya dakika ya kumi na moja kipindi cha kwanza Joselu anaunganisha kwa kichwa klosi iliyopigwa na mshambuliaji mwenzie,Joselu anaipatia klabu yake goli la kusawazisha.  Mchezo ulionekana kuwa sawa katika pande zote mbili lakini vijana wa Tottenham Hotspur wanafanya shambulizi lingne na kufanikiwa kupata goli la pili l

EBOLA

Image
Kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa ebola  inayoendelea katika nchi iliyoko Mashariki mwa bala la Agrika ijulikanayo kama Jamhuri ya kidemoklasia ya congo inaelekea kumalizika hivi karibuni.Kwa mujibu wa taalifa kutoka nchini humo nikwamba,kupelekea kuwa na wasiwasi juu ya kusambaa kwa ugonjwa huo idadi kubwa ya watu wakihusishwa kuathiliwa zaidi.  Katika mlipuko ulitokea hivi karibuni kaskazini Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya kidemoklasia ya congo ididi kubwa ya watu wakihofiwa kuambukizwa virusi hivyo vya ugonjwa wa ebola.Kupitia kampeni hiyo ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa ebola serikali imetangaza kuwa zoezi hilo kwa sasa linakaribia kumalizika.    NB Ugonjwa wa ebola husababishwa na virusi wajulikanao kama eboviruses. UNAVYOSAMBAZWA : ugonjwa huu ni hatari sana na husambaa kwa njia zifuatazo (1)mgusano kati ya binadamu na vitu vyenye virusi hivi vya ebola mfano nguo,maji maji kutoka mwa mtu aliye athiliwa na virusi hivi. (2)migusano ya mdomo kwa  mdomo kati ya mtu alieath

MANCHESTER VS LEICESTER

BOFYA KUITIZAMA 👆👆VIDEO 

SOCCER

Image
Manchester united klabu ya jijini Uingeleza ikiwa nyumbani katika uwanja wao wa Old Trafold wamewachapa wapinzani wao klabu ya Leicester city magoli mawali kwa moja.Mchezo huo ulionekana kumilikiwa na pande zote mbili kwa kipindi cha kwanza lakini klabu ya Manchester waliongeza kasi zaidi ya ushambuliaji huku wakifanikiwa kupata goli la kuongoza kupitia mkwaju wa penati uliopigwa na kiungo maalufu na pia ni nahodha wa klabu hiyo Poul Pogba.Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika klabu ya Manchester  United walikuwa mbele kwa holi moja,kipindi cha pili kilianza kwa kasi zaidi huku Leicester city wakitafuta goli la kukomboa kwa nguvu zaidi na upande wa Manchester United wakilazimisha kuongeza magoli mengi.Hatimae klabu ya Manchester United wanafanya shambulizi kali la kishitukiza huku Alex Sanchez akitoa pasi kwa Juan Mata na kisababisha klosi kwa Shaw ambae anafanikiwa kiuweka mpira nyavuni.Leicester city wanafanya mashambulizi yasiyozaa matunda lakini katika dakika za nyongeza Vard anaip