EBOLA

Kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa ebola  inayoendelea katika nchi iliyoko Mashariki mwa bala la Agrika ijulikanayo kama Jamhuri ya kidemoklasia ya congo inaelekea kumalizika hivi karibuni.Kwa mujibu wa taalifa kutoka nchini humo nikwamba,kupelekea kuwa na wasiwasi juu ya kusambaa kwa ugonjwa huo idadi kubwa ya watu wakihusishwa kuathiliwa zaidi.
 Katika mlipuko ulitokea hivi karibuni kaskazini Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya kidemoklasia ya congo ididi kubwa ya watu wakihofiwa kuambukizwa virusi hivyo vya ugonjwa wa ebola.Kupitia kampeni hiyo ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa ebola serikali imetangaza kuwa zoezi hilo kwa sasa linakaribia kumalizika.
   NB
Ugonjwa wa ebola husababishwa na virusi wajulikanao kama eboviruses.
UNAVYOSAMBAZWA:
ugonjwa huu ni hatari sana na husambaa kwa njia zifuatazo
(1)mgusano kati ya binadamu na vitu vyenye virusi hivi vya ebola mfano nguo,maji maji kutoka mwa mtu aliye athiliwa na virusi hivi.
(2)migusano ya mdomo kwa  mdomo kati ya mtu alieathilika kwa ugonjwa huo.
(3)kung'atwa na wanyama au wadudu walikwisha beba aina hiyo ya virusi.
(4)kupitia damu mfano kuchangia sindano
DALILI ZAKE:
Dalili za awali;
(1)homa
(2)maumivu ya kichwa
(3)maumivu ya viungo na misuli
Dalili kuu;
(1)kuhalisha,kichefuchefu na kutapika damu
(2)maumivu makali sehemu za tumboni,misuli na viungo
(3)mwili kupoteza maji,kuchoka,kukosa hamu ya kula na mwili kutokwa na jasho sana.
MATIBABU:
(1)kumuongezea mgonjwa maji ili kufidia kiwango cha maji kilichopotea
(2)kumuongezea damu mgonjwa
(3)kutumi dawa
(4)mgonjwa awe chini ya uangalizi maalumu kwa kuwekewa mashine za kupumulia kwa wale wasioweza kupumua.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAN U VS LIVERPOOL