BURUDANI
Mfalme wa pop duniani hayati Michael Jackson ameichia huzuni familia yake baada ya kufaliki . Lakini kifo chake kimezua sintofahamu duniani kote , mtoto wake Paris ametoa neno juu ya kifo cha baba yake akisema " najua baba yangu hakufa mwenyewe ila ameuliwa , kabla ya kifo chake aliwahi kuniambia kuwa kuna watu wanamtafuta wanataka kumuua " hii inaonesha kuwa kifo cha Michael Jackson kilipangwa ili kuzima ndoto za Mfalme huyo .