Posts

UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Image
Hatimae draw ya 16 bora yatangazwa.UEFA CHAMPIONS LEAGUE ni moja ya ligi inayoongoza kwa  umaarufu zaidi duniani kutokana na msisimko wa hali ya juu katika ligi hii.Baada ya michuano mbalimbali kupigwa katika viwanja kadhaa ili kuwania tiketi ya kifuzu hatua ya 16 bora hatimae draw imetoka na klabu zikiwa  zinajiandaa kuchuana vikali ili kuibuka kidedea.      IFUATAYO NI ORODHA YA 16 BORA: (1)ROMA VS PORTO (date=12/2/2019 time= 23:00) (2)MAN U VS PSG      (date=12/2/2019 time=23:00) (3)TOTTENHAM VS DORTMUND (date=13/2/2019 time=23:00) (4)AJAX VS R.MADRID (date=13/2/2019 time=23:00) (5)LYON VS BARCELONA (date=19/2/2019 time=23:00) (6)LIVERPOOL VS BAYERN (date=19/2/2019 time=23:00) (7)AT.MADRID VS JUVENTUS (date=20/2/2019 time=23:00) (8)SCHALKEL 04 VS MAN CITY (date=20/2/2019 time=23:00) RAUNDI YA MARUDIANO (1)R.MADRID VS AJAX (date=5/3/2019 time=23:00) (2)DORTMUND VS TOTTENHAM (date=5/3/2019 time 23:00) (3)PORTO VS ROMA (da...

MAN U VS LIVERPOOL

Image
Leo katika ligi kuu ya nchini Uingereza maarufu kama English premier league kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka,mchezo unaoenda kutazamwa na idadi kubwa ya watu kutoka pande zote za dunia,mchezo unaoenda kuamua nani atakaa kileleni mwa msimamo wa ligi.Kocha mkuu wa klabu ya Liverpool,Klop ametangaza hali ya hatari ni zaidi ya mauaji yatakayotokea katika katika uwanja wa nyumbani kwao Anfield.Liverpool ikiwa na historia ya nyuma ya kuichapa klabu ya Bounmouth magori 4 kwa bila mwishonj mwa wiki iliyopita,huku mshambuliaji hatari wa kikosi hicho cha Liverpool,Mohamed Sarah ikifunga magori matatu(hart trick).Lakini kwa upande wa Manchester United hali ni zaidi ya mauaji huku kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Morinho akitangaza kumwagika kwa damu Anfield,Manchester United wakiwa na historia ya kuifunga Fulham magori 4 kwa 1 katika mchezo uliochezwa mwshon mwa  wiki iliyopita.     Mashabiki wa Liverpool wakiwa na maswali mengi kichwani mwao je mshambuliaji wao hatari Sarah ata...

TOTTENHAM HOTSPUR VS NEWCASTLE UNITED

Image
Lei katika ligi kuu ya Uingeleza mechi kadhaa zilipigwa na moja kati ya mchezo ulivuta hisia za wengi ni kati ya klabu ya Tottenham Hotspur dhidi ya wenyeji Newcastle United.Klabu zote zilionekana kuingia kwa kasi zaidi kuhakikisha kila mmoja anapata matokeo mazuri ndani ya dakika za mwanzo,hadi dakika ya nane Tottenham wanafanya shambulizi la kushitukiza lakini mlinda mlango wa klabu ya Newcastle anaokoa na kuipa kona Tottenham.Vertonghen anafanikiwa kuuzamisha mpira ndani ya nyavu za Newcastle nakuipatia klabu yake goli la kuongoza,wachezaji wa Newcastle wanapata nguvu wanafanya mashambulizi kadhaa langoni mwa Tottenham moja kati ya shambulizi lao linazaa matunda.Ndani ya dakika ya kumi na moja kipindi cha kwanza Joselu anaunganisha kwa kichwa klosi iliyopigwa na mshambuliaji mwenzie,Joselu anaipatia klabu yake goli la kusawazisha.  Mchezo ulionekana kuwa sawa katika pande zote mbili lakini vijana wa Tottenham Hotspur wanafanya shambulizi lingne na kufanikiwa kupata goli la pi...

EBOLA

Image
Kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa ebola  inayoendelea katika nchi iliyoko Mashariki mwa bala la Agrika ijulikanayo kama Jamhuri ya kidemoklasia ya congo inaelekea kumalizika hivi karibuni.Kwa mujibu wa taalifa kutoka nchini humo nikwamba,kupelekea kuwa na wasiwasi juu ya kusambaa kwa ugonjwa huo idadi kubwa ya watu wakihusishwa kuathiliwa zaidi.  Katika mlipuko ulitokea hivi karibuni kaskazini Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya kidemoklasia ya congo ididi kubwa ya watu wakihofiwa kuambukizwa virusi hivyo vya ugonjwa wa ebola.Kupitia kampeni hiyo ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa ebola serikali imetangaza kuwa zoezi hilo kwa sasa linakaribia kumalizika.    NB Ugonjwa wa ebola husababishwa na virusi wajulikanao kama eboviruses. UNAVYOSAMBAZWA : ugonjwa huu ni hatari sana na husambaa kwa njia zifuatazo (1)mgusano kati ya binadamu na vitu vyenye virusi hivi vya ebola mfano nguo,maji maji kutoka mwa mtu aliye athiliwa na virusi hivi. (2)migusano ya mdomo kwa  m...

MANCHESTER VS LEICESTER

BOFYA KUITIZAMA 👆👆VIDEO 

SOCCER

Image
Manchester united klabu ya jijini Uingeleza ikiwa nyumbani katika uwanja wao wa Old Trafold wamewachapa wapinzani wao klabu ya Leicester city magoli mawali kwa moja.Mchezo huo ulionekana kumilikiwa na pande zote mbili kwa kipindi cha kwanza lakini klabu ya Manchester waliongeza kasi zaidi ya ushambuliaji huku wakifanikiwa kupata goli la kuongoza kupitia mkwaju wa penati uliopigwa na kiungo maalufu na pia ni nahodha wa klabu hiyo Poul Pogba.Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika klabu ya Manchester  United walikuwa mbele kwa holi moja,kipindi cha pili kilianza kwa kasi zaidi huku Leicester city wakitafuta goli la kukomboa kwa nguvu zaidi na upande wa Manchester United wakilazimisha kuongeza magoli mengi.Hatimae klabu ya Manchester United wanafanya shambulizi kali la kishitukiza huku Alex Sanchez akitoa pasi kwa Juan Mata na kisababisha klosi kwa Shaw ambae anafanikiwa kiuweka mpira nyavuni.Leicester city wanafanya mashambulizi yasiyozaa matunda lakini katika dakika za nyongeza Vard a...

RUSIA FIFA 2018

Image
Neymar jr yupo kwenye wakati mgumu sana katika mchezo wa mpira kufuatia timu yake ya taifa ya Brazili kutolewa na Ubelgiji katika hatua ya robo fainali kwenye mashindano yanayoendelea huku Urusi katika msimu wa mwaka 2018.Staa huyo anaekipiga ligi ya Ufaransa katika klabu ya Paris saint german almaarufu (PSG) licha ya kuwa na wakati mgumu katika timu yake ya taifa lakini pia anafikilia zaidi huenda hali hii ikamsumbua hadi kwenye klabu take anayochezea."Tulipambana kwa kila hali ili kuhakikisha tunafika mbali zaidi na kufikia hatua ya fainali na kupata heshima kubwa kutwaa kombe la dunia kwa msimu huu,lakini imekuwa tofauti na tulivyo tarajia hatukati tamaa ni wakati wetu sasa kujipanga kwa mashindano yajayo.Napata wakati mgumu sana lakini naamini MUNGU ataniongoza na kusahau yaliyotokea".alisema Neymar katika mahojiano na waandishi wa habari nchini Urusi mda mchache kabla ya kuondoka kwa timu yake kurudi Braziri.