SOCCER
Shoka la Guadiola lamshukia Nasri . Kocha mkuu wa klabu ya Manchester city Pep Guadiola ameamua kumuweka nje mchezaji wake tegemezi Nasri kwa taalifa kuwa mchezaji huyo ameongezeka unene . Nasri aliwekwa nje hata wakati timu yake ilipocheza na klabu ya Borusia Dortmund ijapokuwa wachezaji wa akiba waliisha . Kitendo hicho kinaifanya klabu hiyo kuwa makini na afya ya michezo na kufuata utaratibu wote wa kocha wao .