SOCCER
Bastian Schweinsteiger apigwa konzi na Mourho.Kiungo wa kati katika kikosi cha Mashetani wekundu Manchester United Schweinsteiger ana wakati mgumu katika kikosi hicho baada ya ujio wa kocha Jose Mournho.Nafasi yake imechukuliwa na kiungo kutoka Juventus Pogba hivyo kumfanya asotee benchi.
Wengine wachezaji tisa wanaweza kutemwa katika klabu hiyo na wengine kuhama kwa mkopo.
Comments
Post a Comment