SOCCER
Shoka la Guadiola lamshukia Nasri.Kocha mkuu wa klabu ya Manchester city Pep Guadiola ameamua kumuweka nje mchezaji wake tegemezi Nasri kwa taalifa kuwa mchezaji huyo ameongezeka unene.Nasri aliwekwa nje hata wakati timu yake ilipocheza na klabu ya Borusia Dortmund ijapokuwa wachezaji wa akiba waliisha.
Kitendo hicho kinaifanya klabu hiyo kuwa makini na afya ya michezo na kufuata utaratibu wote wa kocha wao.
Comments
Post a Comment