KIMATAIFA
Wanafunzi wa kiafrika washambuliwa huko China.Waziri wa mambo ya nje wa India ndugu Sushma Swaraji ameagiza kufanyika kwa uchunguzi juu ya tuhuma za kushambuliwa kwa Waafrika katika jimbo la Uttar Pradesh.Wanafunzi 4 wanauguza majeraha baada ya kushambuliwa vibaya huku msichana mmoja raia wa Nigeria ikialifiwa kutekwa na wengine kushambuliwa jana wakati wa maandamano ya kupinga kifo cha mvulana mmoja wa India katika mji wa Noida inahofiwa alipewa dawa za kulevya kupita kiasi.
Comments
Post a Comment