BURUDANI
Msanii chipukizi wa muziki wa bongo fleva Harmorappa amikili hadhalani baada ya kuonekana kukimbia bastola iliyotolewa na mmoja wa wanausalama katika mkutano aliofanya aliyekuwa waziri wa michezo na sanaa mheshimiwa Nape Nauye.
Harmorappa alionekana akikimbia mara tuu baada ya kuona bastola alipotaka kumpa mkono mheshimiwa Nape baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari.
Comments
Post a Comment