KITAIFA
Raisi Magufuli atuma salamu za rambirambi.Raisi wa Tanzania dokta John Magufuli amemtumia salamu za rambirambi spika wa bunge la jamhuli ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Job Ndugai kufuatia kifo cha mbunge viti maalum wa chama cha demoklasia na maendeleo CHADEMA ndugu Elly Marko Macha.
Raisi Magufuli ameonyeshwa kuguswa na kifo hicho yeye kama raisi hvyo akaamua kutuma salamu hizo za rambirambi kwa spika wa bunge ili ziwafikie wanafamilia wote wa mbunge huyo.
Comments
Post a Comment