BURUDANI
Ney aachiwa huru....
Msanii wa Tanzania Ney wa mitego hatimae ameachwa huru bara baada ya kukamatwa na jeshi la polisi kutokana na tuhuma za kuikashifu sirikali kupitia wimbo wake mpya aliotoa hivi karibuni.
Jeshi la polisi limemkuta Ney bila hatia kwa sasa yupo huru na yupo huru pia kuendeleza fani yake ya muziki.je unadhani ilikuwa sahihi kwa Ney kukamatwa?toa maoni yako
Comments
Post a Comment