SIASA
Mwenyekiti mkuu wa chama cha mapinduzi nchini mheshimiwa John Magufuli ameutangazia umma kuwa hatojali nani anaongea nini wala nani anataka nini juu ya tuhuma za mkuu wa mkoa wa dar es salaam mheshimiwa Makonda.
"Mimi huwa sipangiwi kazi,mimi ni raisi ninae jiamini mimi ndio ninaamua nani atakaa wapi nani ataondoka na wakati gani,Makonda wewe chapa kazi usisikilize maneno kwenye mitandao na mitaani wewe chapa kazi tuu" haya ndio maneno aliyosema Mheshimiwa John Magufuli mbele ya umma na waandishi wa habari..
Je uadhani mheshiwa yupo sahihi katika hili?toa maoni yako
Comments
Post a Comment