SOCCER
Brazil ndio timu ya kwanza kufuzu kombe la dunia.
Timu ya taifa ya Brazil ndio timu ya kwanza kukata tiketi ya kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2018.Brazil ilipata ushindi wa goli tatu kwa bila dhidi ya timu ya taifa ya Paraguay,katika mchezo huo mshambuliaji Neymar alionesha kiwango cha juu kuisaidia timu yake kupata ushindi huo mnono.
Timu nyingine kama Uruguay na Argentina bado zimekabwa koo zikiwa na hatihati ya kutofuzu michuano hiyo.
Comments
Post a Comment