SOCCER

Klabu ya Manchester City imepewa adhabu ya faini paundi 35 kutokana na kushindwa kuwazuia wachezaji wake kumzonga mwamuzi kila wakati.Hii inaonesha ni  utovu wa  nidhamu kumlalamikia mwamuzi kila wakati.
    Malalamiko ya wachezaji wa  Manchester city yalikuja baada mwamuzi wa  mchezo huo Michael Oliver kuizawadia klabu ya Liverpool katika dakika ya 50 baada ya mchezaji Gael Clichy kumchezea rafu Firmino wa Liverpool.Mkwaju wa  penati ulipigwa na James Milner lakini katika dakika ya 69 mcheza Aguero akasawazisha bao hilo  na kuandikia Man City bao la  kwanza,hatimae mchezo huo  ukaishia kwa sare  ya bao moja kwa moja.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASSA AACHIWA HURU

MAPENZI