Posts

Showing posts from January, 2017

SOCCER

Image
Mornho become a great special one again due to the beating a lot of club in English premier league    Man-united 4 --Wigan 0 The hope to take the championship cup in England is shining Old Trafford

SOCCER

Image
Select The Emirates FA Cup RESULTS: Chelsea 4-0 Brentford Spurs 4-3 Wycombe Wanderers Lincoln City 3-1 Brighton Crystal Palace 0-3 Man City

SOCCER

Select The Emirates FA Cup RESULTS: Chelsea 4-0 Brentford Spurs 4-3 Wycombe Wanderers Lincoln City 3-1 Brighton Crystal Palace 0-3 Man City

AMAIZING

Image
Mshambuliaji wa Real Madrid Christian Ronaldo ametelekeza gari lake la milioni mia saba mtaani . Ronaldo amewaacha watu midomo wazi baada ya kitendo hicho

SOCCER

Image
Real Madrid Football Club out of copa delay after draw with Celto Vigo which ended Real Madrid 2 - Celta Vigo 2

BURUDANI

Image
WCB yapiga saluti kwa Alli Kiba Ni baada ya kumchukua projuza anaetengeneza nyimbo nyingi za King Kiba anaeitwa Abby dady.Projuza huyu aliitwa na kundi la WCB kwenda kutengeneza wimbo wa Rich Mavoko (kokoro),hii inaonesha wazi kuwa WCB wanamkubali sana King Kiba na kazi zake.

SOCCER

Image
Sir.Alex furgoson take a comment to Jose Mornho after his previous club Man United to show the hope of taking the England Championship.Furgoson salute for Morlnho to return respect at Old Traford

BURUDANI

Image
Mfalme wa pop duniani hayati Michael Jackson ameichia huzuni familia yake baada ya kufaliki . Lakini kifo chake kimezua sintofahamu duniani kote , mtoto wake Paris ametoa neno juu ya kifo cha baba yake akisema " najua baba yangu hakufa mwenyewe ila ameuliwa , kabla ya kifo chake aliwahi kuniambia kuwa kuna watu wanamtafuta wanataka kumuua " hii inaonesha kuwa kifo cha Michael Jackson kilipangwa ili kuzima ndoto za Mfalme huyo .

MY QUOTE TO YOU

Image
A winner is the dreamer who never give up .... my friend do you remember that there are so many people look at you and depend at you , do you remember that if you betray yourself you destroy your life and people around you . Use your time properly because even a second that goes ever come again , do something at a time .Don't waste your time for nothing,make sure you use your time for beneficial ....... Thanks

LIFE

Image
TEN RULES OF LIFE ... Life is like a beutifull journey but it hold a lot of miserable, ambiguous, sad and torture,it's true that all of those should appear in order to make you strong,brave and hero. In order to make a life happy and easy it 's so simple , follow the following rules you can lean something . (1) Believe to ALLAH : Remember that all your plan and dream of your life are controlled by ALLAH , don't accept the obstacles that you face in your life to make you away from your Lord . Everyday talk with your GOD tell him to be with you in all your life , tell him to take your hand and go with you forever , tell him to give you strength and power to fulfill your dream , tell him to give you bless , light , happy , smile and tolerance for all the hard that you encounter with . Escape from sin because one day you will need help from ALLAH , abbey all the willing ...

FOOTBALL

Image
Super star from Tanzania whos play abroad soccer in the club of Berligium RCK GENK Mbana Sammata seen to shine in January month than all of the month that he have played previ ously . M'BWANA sammata is the shine star at the dark place whos show other player to follow his steps . He show the word that Tanzania is among of great country which have a talented people .

POLITICS

Image
President of USA Donald Trump chooses twiter as a way of getting his message.This come after the misunderstanding between him and journalists,he say that"I get very dishonest press and it's my only way that I can counteract". Now the journa list of USA are not supposed to be politicians best friend , this would harm their ability to challenge people in power .

SOCCER

Image
Barce lona Football Club won over Eibar , the combination of MSN it contribute to get 3 point.And now Barc elona move within 2 point at the top of Real Madrid Football club .

SOCCER

Image
Goal of Diego Costal and Gary Cahil ensured Chelsea Football Club moved 8 point clear of Arsenal at the top of Premier League after a hard fought over Hull City

SOCCER

Image
Alex Sanchez ..... there was huge drama at the Emirates as Alex Sanchez converted a 98 minutes penalty to give 10 man Arsenal a crucial victory , moving them into second sport above Tottenham Hotspus and keeping their premier league tittle hope alive

WOUNDERFULLY

Image
The wonderfu lly human being in the world have a lot of hair around his body . The length of hair is aploxmatelly 3 inch . The genuse book which write record of event of the world put that kind of human being in record .

SOCCER

Image
Asamoh gyian become a first player of Ghana to return a hope of winning Afrika National Cup.Now the Gha na have a chance to bring their fans happy again .

MICHEZO

Image
MATOKEO YA ENGLISH PLEMIUM LEAGUE .... Stoke city 1- Man U 1 Crystal palace 0- Everton 1 Middleborough 1 - West Ham 3 Bournemouth 2 - Watford 2 West brom   2 - Sunderland 0

MICHEZO

Image
RATIBA YA MECHI ZA LEO DUNIANI KOTE ... AFRIKA NATI ONAL CUP Ghana - Mali =1:00 usiku Egypt - Uganda =4:00 Usiku ENGLISHI PLEMIUM LEAG Liverpool - Swansea city =9:00 mchana Bournemouth - Watford =12:00 jioni Crystal palace - Everton =12:00 jioni Middleborough - West Ham =12:00 jioni Stoke city - Man .U =12:00jioni West Bromwich Albion - Sunderland =12:00jion Man city - Tottenham Hotspus =2:30usiku SPANISH PRIMERA Espanyol - Granada =9:00jioni Real Madrid - Malaga =12:15jioni Alaves - Leganes =2:30usiku Villarreal - Valencia =4:45usiku GERMAN BUNDESLIGA Augsborg - TSG Hoffenhem =11:30jion Schake 04 - FC Ingolstadt 04=11:30jioni Werder - Borussia Dortmund =11:30jion VFC Walfsburg - Hamburg SV =11:30jioni ITALIA SERIA      A Chievo Verona - Fiorentina =2:00usiku AC Milan - Napoli =4:45usiku Asante sana usikose kutembelea tena ili upate matokea ya mechi zote

MICHEZO

Image
Neymar Jr airudisha tabasamu .. mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Neymar do Santos amerudisha tabasam katika klabu baada ya mechi yao ya copa delay dhidi ya klabu ya Real Sociedad kufanikiwa kufunga gori lililodumu hadi mwisho wa mchezo . Neymar alifunga gori hilo kwa mkwaju wa penati kusababisha mchezo huo kuishi kwa bao moja kwa bila. Barcelona 1-- Real Sociedad 0

BURUDANI

Image
V isent kigosi amnywesha maji mtototo wake aliyezaliwa jana ... muigizaji maalufi sana nchini Tanzania RAY amepata mtoto wa kiume na mzazi mwenzie Chuchu Hans .Mtototo ni mweupe mithri ya mzungu,baadhi ya watu wake wa karibu wanasema amemnywesha maji mwanae huyo baada ya skendo iliyozuka Siku za usoni kuwa Ray anakunywa maji mengi ndio maana anakuwa mweupe . " Namshkuru sana mungu kwa kunipa pacha wangu japo watu wataongea sana lakni huyu ndie damu yangu napenda kumuita pacha wangu " alisema RAY

KIMATAIFA

Image
Waziri mkuu apigwa kifo .... Waziri mkuu msataafu nchini Ufaransa amepigwa Kofi alipokuwa akihamasisha kampeni katika ukanda wa magharibi wa mji Brittary . Alipigwa Kofi na kijana mdogo wakati wakusalimiana kwa kushikana mikono , lakn mlinz wa Waziri huyo alimshka huyo kijana shingoni nakumtupa chini . Taarifa zinasema Waziri huyo yupo salama na hakujeruhiwa popote .

MAPENZI

Image
Mapenzi ni safari tamu sana ya upendo mambayo kamwe haiwezi kukosa huzuni furaha , majonzi na faraja . Maana halisi ya mapenzi ni jinsi unavyomjali mtu zaidi ya unavyoijali nafsi yako , mapenzi ni furaha amani na upendo . Wapo wanaoamini et hakuna mapenzi ya kweli hakika wao wanakosea mapenzi ya kweli yapo . Wengi wetu tunaingia kwenye mahusiano ya Kumapenzi bila kujua lengo halisi la kuingia huko ndio maaana wengi tunaishia kuumia , kulia , majuto na kupotezewa muda . Unapoamua kuingia kwenye mahusiano inamaana unaandaa maisha maisha yako ya badae na huyo mapenzi wako na upo tayari kukabiliana na kila changamoto itakayojitokeza hadi pale lengo lenu litakapotimia . Soma hizi kanuni 10 naamini utajifunza kitu . (1) Kuamini kuwa upendo wakweli upo : unatakiwa kujiamisha kuwa unapendwa ha hakuna mwingine zaid yako , itakusaidia kupunguza fikra potofu za usaliti na itajenga ...

KITAIFA

Image
Mkazi mmoja jiji DAR amefungua koki katika gari la kubebea kinyesi cha binadamu kwa lengo la kuiba mafuta akizani kuwa roli hilo lilikuwa limebeba mafuta . Hii imesababisha hali ya hewa jijini   dar kuwa chafu zaidi . Ni hatari sana kwani inaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kama hatua za kudhibiti hazita chukuliwa .

LOWASSA AACHIWA HURU

Image
Edward Lowassa ameachwa huru kutokana na kile kinachosemekana ni nguvu za wananchi . Serikali imeamua kumuacha huru kwa sababu za kiusalama zaidi , Lowassa kwa sasa yupo huru na yupo kamili kuweza kutekeleza alicho kiahidi kuwapa Watanzania chakula waliokumbwa na janga la ukame . Amesema hatakama pesa zake hazitawatoleza mahitaji ano uwezo wa kukopa kokote kule ilimladi aokoe maisha ya Watanzania wengi ." inaniuma sana kuona Watanzania wanapoteza maisha kwa njaa haliya ya kuwa pesa zipo , ntapambana hadi mwisho kulisimamia hili " alisema Lowassa

BURUDANI

Image
DIMONDI ALAMBA SHAVU : Mwanamuziki wa bongo fleza nchini Tanzania pamoja na mzazi mwenzake Zari Hasani"Zari"wamelamba shavu baada ya kusaini mkataba wa kupendezesha jarida maalufu sana nchini Afri ka Kusini liitwalo " papas and mamas " Wawili hao wameingia kwenye rekodi ya kuwekwa katika jarida hilo sawa na Nelson Mandela aliyekuwa raisi wa nchi hiyo .

KITAIFA

Image
LOWASSA AAHIDI KUTOA CHAKULA : Rais aliyeshindwa katika uchaguzi mwaka 2015 kupitia chama cha CHADEMA Ndug:Edowald Lowassa ametangaza kuwa "" kama raisi wetu huyu ameshndwa kuleta chakula nakuwafanya Watanzania waishi maisha ya shida na dhiki , basi Mimi naahidi kutoa chakula kwa pesa yangu . hatuwezi kuangalia ndugu zetu wakiteseka kwa janga la njaa wakipoyeza ndugu na jàmaa zao kwa njaa halafu Watanzania tupo Mimi kama Lowassa nasema nitakuwa mstari wa mbele kutetea na kupigania uhai wa kila Raia,hata chakula cha kuomba pia hatuwezi kukosa dunia yote itatuelewa"" alisema Lowassa mbele ya wanachama wake..Lowassa nywele nyeupe , roho nyeupe , moyo mweupe , tuungane nae katika hili

MATOKEO

Image
MAAJABU YA NAMBA 9 KATIKA MATOKEO KIDATO CHA PILI: MKOA MMOJA WATOA SHULE 9 KATI YA 10 ZINAZOSHIKA MKIA. KATI YA WANAFUNZI 10 BORA WANAFUNZI 9 NI WASICHANA. Mchanganuo upo kama ifuatavyo... Shule 10 bora; (1)St:Francis girls=Mbeya (2)Kinjaro Islamic=Kilimanjaro (3)Kalairege junior=Kagera (4)Conassa=Dares s salaam (5)Twibhoki=Mara (6)Tangeru boys=Arusha (7)Marian boys=Pwani (8)Precious blood=Arusha (9)Thomas Machrina=Dar (10)Shamsiye=Dar SHULE 10 ZA MWISHO (1)Chingungwe= Mtwara (2)Majacho= Mtwara (3)Nywelo = Tanga (4) Naputa = Mtwara (5) Chanikangwa = Mtwara (6) Mtiniko = Mtwara (7)Michiga= Mtwara (8) Msimbati = Mtwara (9) Salama = Mtwara (10) Lukokoda = Mtwara WANAFUNZI 10 BORA (1) Teckian Haula = Canossa (2) Joseph Kalabwe = Kwema modern (3) Mirabel Masowo = Canossa (4) Hamida Kihiyo = St : Aloysius (5) Rachel Sogala = Heritage (6) Clare Hamisi = Feza girls (7) Rosslyn Kissaku = Feza girls (8) Joy Kimambo = Feza girls (9) Venustra Mring...

MICHEZO

Image
Matokeo ya michuano mbalimbali katika tasnia ya mpira wa miguu kutoka Afrika na nje ya Afrika kama ifuatavyo.. Afrika National Cup Algelia 1- Zimbabwe 2 English premium league Everton 4- Man city 0 Spain league Valencia 2- Espanyol 1 Italia serial A Cangliori 4- Genoa 1 Lazio 2- Atalant 1 Napoli 3 - US Pescara 1 Sampdara 0- Empoli 0 Sassuolo 4- Paleino 1 Udinese 0- AS Roma 1 Asante usikose tena kutembelea blog yako hii kwa TAARIFA MBALIMBALI KILA zinapotoka .... ASANTE

Tanga Utamu Blog: Elimu

Tanga Utamu Blog: Elimu

INTERAINMENT

Image
Tuzo za Let people's choice za Naojeria zinaandaliwa pasipokuwa na sherehe za ukabidhi wa tuzo hizo.Nchi ya Naijeria imeamua kutoa tuzo hizo kwa wanasanaa ili kuonesha thaman ya wanasanaa hao katika tasnia hyo.Ifuatayo ni orodha ya washindi katika tuzo hizo.. Most searched personality across Afrika = Diamond platnumz Most searched comedian = Basketmouth Most popular global = Drake Most popular Actor = Adekola Most popular TV/Radio persona lity = Toke Makinwa Most searched Mucisian ( female )= Tiwa Savege Most searched and popular mucisian ( male )= Wizkid Most popular couple = Teebillz na Tiwa savege

MICHEZO

Image
Pogba apewa funzo... Kiungo wa kati wa Man U,Pogba amepewa funzo Kali na mkufunzi wake Morinho Mara tu baada ya kuonekana kiwango chake kinapotea""unatakiwa kucheza kwa Uhuru uwanjani bila kumskiliza yeyote,kujiamni pia ni njia ya mafanikio""alisema Morinho kwa Pogba.Kiungo huyu mwenye umri miaka 23 alitabiliwa kuwa tishio kubwa katika ligi kuu ya Uingereza mara baada tu ya kutua Man U akitokea Juventus.Pogba kwasasa kiwango chake kipo vizuri na amisaidia Man U kucheza mechi nyingi bila kufungwa siku hizi za usoni

BURUDANI

Image
Diamondi ni hatari.. Mwanamuziki wa kitanzania Diamondi platnumz awamwaga machozi raia wa Gabon mara tu baada ya kupanda jukwaani na kuganya show Kali sana.Mwanamuziki huyu amealikwa kwenye tamasha LA ufumbuzi wa michuano ya kimataifa Afrika,Diamondi amepata fulsa ya kuonana na raisi wa nchi hyo Mh:Ali Bongo pia amepata nafasi ya kuonana na baadhi ya wamuziki wengne kama Davido kutoka Nigeria na Akon kutoka Senegal.Platnumz anaiwakilisha vyema bendela ya Tanzania kimataifa zaidi,huyu ndie msanii anekubalika sana Tanzania na Afrika kwa ujumla

BURUDANI

Image
Diamond awatoa machozi

KIMATAIFA

Image
Raisi wa Malekani anayeondoka Balack Obama alitokwa na machozi alipokuwa akitoa hotuba yake ya mwisho kama rais mjini Chicago Hii ni baada ya alipokuwa akimshukuru mkewe Michelle pamoja na mabinti zao Maria na Sasha.. "" umeifanya ikulu ya White house kuwa mahala pa kila mtu upendo wako,ukarimu,ushauri,hekima na busara zako zimeifanya USA kuwa taifa lenye amani na furaha wakati wote.Hakika wewe n mwanamke imara na jasiri mwenye nguvu"alisema Obama kwa Michelle "Leo tunaondoka ikulu naomba uendelee kunishka mkono na kuniongoza,nakupenda sana mke wangu Michelle" alimalizia Obama